Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Zainabu 'IKOTA' Mhamila kushoto akimlisha keki mama yake mzazi Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika juzi nyumbani kwao buguruni Lozana.

Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika pozi uku akiwa na keki yake.
Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na rafikizake siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa.
Zainabu 'IKOTA' Mhamila kushoto akimlisha keki mama yake mzazi Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika juzi nyumbani kwao buguruni Lozana.
Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika pozi
Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika pozi

Post a Comment

0 Comments