Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA ZANGU UFUKWENI ZABAINI WAVUVI MAHIRI WA KESHO

Je amenasa?

Bado...

Huyu ndiye mvuvi wa kesho.

Mvuvi na samaki wake mkononi.

Wavuvi  mahiri wa kesho  na mazao yao ufukweni.

Waliobobea wakitoka kwenye shughuli za uvuvi ziwani katika eneo la Magu jijini Mwanza.

Mitumbwi ufukweni.

Fuata nyayo lakini chunguza kuwa ni za mnyama gani.

Kivuli changu na mwaka 2013 nahisi kinaweza kuwa back ground ya deski topu yako.

Post a Comment

0 Comments