Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

PAA JUU KWA JUU.

Kulia ni barabara ya Nyerere na kushoto ni barabara ya Rwagasore zikikutana kuelekea barabara ya kelekea Shinyanga.

Tambarare na kilimani.
Shesheni ya Mwanza.

Hoteli ndani ya Ziwa Victoria.

Vikwangua anga vya kale na vya sasa.

Pale katikati ndiko kiwanja cha Sahara aka Kiwanja cha vita vya majukwaa ya siasa.

Post a Comment

0 Comments