Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

MATOKEO YA MICHEZO YA LEO LIGI KUU SOKA LA UINGEREZA


Leonardo Ulloa wa Leicester City akishangilia bao lake la dakika 95 kwa penalti katika sare ya 2-2 na West Ham United jioni ya leo Uwanja wa King Power. Bao lingine la Leicester limefungwa na Jamie Vardy, wakati ya West Ham yamefungwa na Andy Carroll na Aaron Cresswel PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments