Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

MWANZA NA ZAIDI UIJUAVYO.

Kutoka angani eneo la mashamba ya Ilemela karibu na Air Port Mwanza.

Nyuma ya Capripoint.

Jicho la kamera likielekezwa  Mwanza North. 

Uvuvi ukiendelea ziwani Victoria.

Miamba ya maji.

Ni chombo cha usafiri (Buganda) ambacho hii leo kimegeuzwa kuwa sehemu ya chumba cha hoteli Tilapia iliyoko Capripoint wilayani Nyamagana jijini Mwanza.
PICHA ZOTE NA Moiz Husein.

Post a Comment

0 Comments