Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

GOOD MORNING A TOWN.

Kutoka usawa wa juu kiunga cha Ngarenaro na mwonekano wa mlima Meru.  
Moja kati ya kikwangua anga kinachojengwa barabara ya kuelekea sakina kutoka Triple A kwa hapa hivi.
Kushoto ni jengo la biashara soko la Machinga ambalo limesimama ujenzi wake mwaka wa tatu sasa tangu nilione likiwa katika harakati za ujenzi. 
Juu kwa juu...
Mtura jikoni.
Choma chomaZ....na banikaZ za hapa na pale.
Kanisa la Padre Babu kwa juu.
Morning thing.
Kuelekea Ngarenaro chini mjini Arusha.

Post a Comment

0 Comments